Baridi Baridi Tanzania

TUNAKODISHA AC KWA GHARAMA NAFUU

Faida

 • 01 Jipatie AC sasa

  Sio lazima ununue AC. Ukikodisha, unaweza kuanza kutumia AC baada ya kulipa gharama ya ufungaji tu.​

  Get AC Now

 • 02 Okoa gharama za umeme

  Kulingana na uchambuzi wa luku, mmoja wa wateja wetu aliokoa zaidi ya 56% ya gharama za umeme.​

  Save Electricity Costs

  Save Electricity Costs

 • 03 AC no. 1 ulimwenguni kutoka​ kampuni ya Japani

  Pata AC ya Daikin! Daikin AC ni ya kimataifa kutoka Japan.​

  Global No.1 AC from Japan

Maelezo ya AC​

 • Brandi : Daikin
 • Inverter AC

  *Sawa na 5 Star, kulingana na mfumo wa ukadiriaji wa India.

 • Size za AC zinazopatikana:

  S: 12,000Btu/h (1.25hp)
  M: 17,100Btu/h (1.79hp)
  ​ L: 20,500Btu/h (2.14hp)​
  *Hp ni kifupi cha horsepower, iliyobadilishwa kutoka Btu/h

 • Rimoti ya kutumia Wi-Fi

  Unaweza kuwasha na kuzima AC kwa kutumia smartphone yako.

Specifications

Jinsi ya kupata huduma zetu​

Step1

Maeneo tunayofunga AC

 • KINONDONI

 • UBUNGO

 • ILALA

 • TEMEKE

 • KIGAMBONI

Makumbumsho, Mikocheni, Mwananyamala, Kawe, Mbezi beach, Kinondoni, Mwenge, Msasani, Oysterbay, Masaki, Hananasif, Kigogo, Magomeni, Kunduchi, Tegeta, Bunju

Sinza, Ubungo, Mabibo, Mbezi

Kariakoo, Buguruni, Gerezani, Jangwani, Upanga, Posta, Kisutu, Mnazi mmoja, Kivukoni, Tabata, Gongo la mboto, Kinyerezi, Kitunda, Ukonga, Ilala municipal council

Keko, Tandika, Temeke, Kurasini, Chang’ombe, Tungi, Kijichi, Mtoni MT, Mbagala

Kigamboni, Magogoni, Mjimwema

Step2

Tupigie : +255 222 224 000

Step3

Maafisa wa Baridi Baridi watakupa maelezo zaidi

Bei

Gharama ya ufungaji: : 180,000 Tzs

Malipo ya msingi
(kila mwezi)
Vifurushi
Kiasi utakacholipia Point utakazopewa
S
S: 12,000 Btu/h(1.25hp)
30,000/= 6,000 Siku 1 2,800/=
Siku 7 11,500/=
Siku 30 43,300/=
M
M: 17,100 Btu/h(1.79hp)
35,000/= 7,000 Siku 1 3,400/=
Siku 7 14,000/=
Siku 30 52,000/=
L
L: 20,500 Btu/h(2.24hp)
40,000/= 8,000 Siku 1 3,900/=
Siku 7 16,000/=
Siku 30 60,000/=

Malipo ya msingi: Itakatwa kutoka kwenye akaunti kila baada ya siku thelathini
Vifurushi: Inahitajika ili uweze kuwasha kiyoyozi(AC)
Point utakazopata: Zitakuwezesha kuwasha AC baada ya malipo ya msingi

Maoni ya Wateja​

Customers’ opinions

Nimepata AC yenye ubora wa hali ya juu kwa kulipa 180,000/- tu kama gharama ya ufungaji. Kabla, nilikuwa nikitumia AC isiyo na inverter na gharama ya umeme ilikuwa kubwa sana. Lakini, baada ya kutumia AC kutoka Baridi Baridi nilipunguza zaidi ya 75% ya gharama ya umeme. Na nafurahi sana kuwa mmoja wa wateja wa kwanza wa Baridi Baridi.​

Mswali na Majibu

 • Baridi Baridi
 • Huduma ya kukodisha
 • Kuhusu AC
Baridi Baridi ni nini?

Baridi Baridi ni kampuni ya Kijapani inayotoa huduma nchini Tanzania, ni kampuni ya kwanza nchini Tanzania na ulimwenguni kote, ambayo inatoa huduma ya kukodisha viyoyozi kwa ofisi, maduka, na nyumbani. Baridi Baridi inajihusisha na ukodishaji wa viyoyozi namba 1 ulimwenguni, viyoyozi vya Daikin inverter ambavyo vinatumia teknolojia ya kupunguza matumizi ya umeme na hivyo kupunguza gharama ya umeme.

Ofisi yenu ipo wapi?

Ofisi yetu ipo Tanzanite Park Victoria, Ground floor, Plot number 38 Victoria Street, New Bagamoyo road, P.O. Box 33758, Dar es Salaam, Tanzania.

Huduma zenu zinapatikana saa ngapi?

Tunapatikana ofisini kwetu kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa, kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni. Ofisi yetu ipo Tanzanite Park, Victoria.

Je, ni faida gani nitapata nikikodisha AC?

Anza kufurahia AC yenye ubora wa hali ya juu kwa kulipa gharama nafuu za awali, matumizi madogo ya umeme, huduma ya bure ya matengenezo ya AC na huduma nzuri kwa wateja wa Baridi Baridi.

Gharama za kukodisha AC zikoje?

Kwa mfano, kwa saizi ndogo ya AC utalipa: 30,000Tzs kama malipo ya msingi ambayo inapaswa kulipwa kila mwezi. Baada ya hapo utalipa 43,000Tzs kama kifurushi cha mwezi ili uweze kuwasha AC. Kwa hivyo, kwa mwezi jumla utalipa 73,000Tzs tu.

Je, AC itaokoa kiasi gani cha gharama za umeme?

Daikin inverter AC inapunguza matumizi ya umeme kwa zaidi ya 30% ikilinganishwa na Daikin AC isiyo na inverter. Pia, tulifanya uchambuzi wa matumizi ya umeme kwa wateja wetu ili kuona kama ni kweli. Mfano mmoja ni kwamba, wakati duka la dawa la Al Tai lilikuwa likitumia AC isiyo na inverter, gharama ya umeme kwa matumizi ya AC ilikua 6,200Tsh kwa masaa 9. Lakini baada ya kubadilisha na kufunga Daikin inverter AC kutoka Baridi Baridi, gharama ya umeme kwa matumizi ya AC ilipungua hadi 2,700Tsh kwa masaa 9. Matokeo yanaonesha kwamba Daikin inverter AC kutoka Baridi Baridi inaweza kupunguza gharama ya umeme kwa zaidi ya 50%.

Huduma ya usafishaji na matengenezo ya AC inajumuisha vitu gani?

Baridi Baridi inatoa huduma ya kusafisha vumbi kwenye chujio ya indoor unit ya AC mara moja kwa mwezi na na kusafisha kwa maji indoor unit na outdoor unit ya AC mara moja kwa mwaka. Baridi Baridi inatoa huduma ya marekebisho kama kiyoyozi kimekuja kibovu bila makosa ya mteja.

Ninaweza kukaa na AC kwa muda gani?

Habari njema! unaweza kukaa na AC kutoka Baridi Baridi kwa muda wowote unaotaka. Baada ya AC kufungwa katika chumba chako, utahitajika kulipia vifurushi ili uweze kuendelea kufurahia huduma yetu.

Je, nitapata AC ya aina gani?

Utapata Daikin inverter AC kutoka Japan. Kwa sasa ni AC bora nchini Tanzania.

Je, nitapata AC mpya?

Unaweza usipate AC mpya kila wakati, lakini utapata Daikin Inverter AC yenye nyota 5 ambayo inaokoa matumizi ya umeme. Kuwa mmoja wa wateja wetu wa kwanza, anza kufurahia baridi mwanana.

Je, ninaweza kumiliki AC?

Ukikodisha AC kutoka Baridi Baridi utafurahia huduma ya usafishaji na matengenezo ya AC bure. Na kama AC itaharibika tutabadilisha na kukufungia nyingine ikiwa AC imeharibika bila makosa ya mteja. Lakini, hatuna chaguo la mteja kununua AC.

Je, ninawezaje kukatisha mkataba?

Mkataba wa huduma ya Baridi Baridi ni mkataba huru. Utaruhusiwa kukatisha mkataba mwezi mmoja baada ya kutupa taarifa kuhusu kutaka kukatisha mkataba. Anza kutumia huduma yetu wakati wowote unaotaka.

Ofisi Zetu

Tanzanite Park Victoria, Ground Floor,​Plot number 38 Victoria​ Street, New Bagamoyo Road, P.O.Box 33758, Dar es salaam, Tanzania​

Customers’ opinions

Kuhusu Kampuni​