Baridi Baridi Tanzania

TUNAKODISHA AC KWA GHARAMA NAFUU

Faida

 • 01 Jipatie AC sasa

  Sio lazima ununue AC. Ukikodisha, unaweza kuanza kutumia AC baada ya kulipa gharama ya ufungaji tu.​

  Get AC Now

 • 02 Okoa gharama za umeme

  Kulingana na uchambuzi wa luku, mmoja wa wateja wetu aliokoa zaidi ya 56% ya gharama za umeme.​

  Save Electricity Costs

  Save Electricity Costs

 • 03 AC no. 1 ulimwenguni kutoka​ kampuni ya Japani

  Pata AC ya Daikin! Daikin AC ni ya kimataifa kutoka Japan.​

  Global No.1 AC from Japan

Maelezo ya AC​

 • Brandi : Daikin
 • Inverter AC

  *Sawa na 5 Star, kulingana na mfumo wa ukadiriaji wa India.

 • Size za AC zinazopatikana:

  S: 12,000Btu/h (1.25hp)
  M: 17,100Btu/h (1.79hp)
  ​ L: 20,500Btu/h (2.14hp)​
  *Hp ni kifupi cha horsepower, iliyobadilishwa kutoka Btu/h

 • Rimoti ya kutumia Wi-Fi

  Unaweza kuwasha na kuzima AC kwa kutumia smartphone yako.

Specifications

Jinsi ya kupata huduma zetu​

Step1

Maeneo tunayofunga AC

 • KINONDONI

 • UBUNGO

 • ILALA

 • TEMEKE

 • KIGAMBONI

Makumbumsho, Mikocheni, Mwananyamala, Kawe, Mbezi beach, Kinondoni, Mwenge, Msasani, Oysterbay, Masaki, Hananasif, Kigogo, Magomeni, Kunduchi, Tegeta, Bunju

Sinza, Ubungo, Mabibo, Mbezi

Kariakoo, Buguruni, Gerezani, Jangwani, Upanga, Posta, Kisutu, Mnazi mmoja, Kivukoni, Tabata, Gongo la mboto, Kinyerezi, Kitunda, Ukonga, Ilala municipal council

Keko, Tandika, Temeke, Kurasini, Chang’ombe, Tungi, Kijichi, Mtoni MT, Mbagala

Kigamboni, Magogoni, Mjimwema

Step2

Tupigie : +255 222 224 000

Step3

Maafisa wa Baridi Baridi watakupa maelezo zaidi

Bei

Gharama ya ufungaji ni 180,000/=Tzs

Hatua ya kwanza

Utalipa malipo ya msingi itakayokupatia points zenye thamani ya kiasi ulicholipa zitazokuwezesha kujiunga na vifurushi(Malipo haya yanalipwa kila mwezi)

Hatua ya Kwanza

Utalipia malipo ya msingi itakayokupatia points zenye thamani ya kiasi ulicholipa zitazokuwezesha kujiunga na vifurushi (Malipo haya yanalipwa kila mwezi)

S
12,000Btu/h(1.25hp)
M
17,100Btu/h(1.79hp)
L
20,500Btu/h(2.14hp)
Malipo ya Msingi

(Kila mwezi)

30,000/=(30,000 points)

35,000/=(35,000 points)

40,000/=(40,000 points)

Malipo ya Msingi(Kila mwezi)
S: 12,000Btu/h
(1.25hp)
M: 17,100Btu/h
(1.79hp)
L: 20,500Btu/h
(2.14hp)
30,000/=(30,000 points) 35,000/=(35,000 points) 40,000/=(40,000 points)

Hatua ya Pili

Utaweza kujiunga na vifurushi kwa kutumia points ulizopata baada ya kulipa malipo ya msingi

Hatua ya Pili

Utaweza kujiunga na vifurushi kwa kutumia points ulizopata baada ya kulipa malipo ya msingi

Vifurushi
S
12,000Btu/h(1.25hp)
M
17,100Btu/h(1.79hp)
L
20,500Btu/h(2.14hp)
Kwa Siku 1 3,000 points 3,500 points 4,000 points
Kwa Siku 7 17,000 points 20,000 points 23,000 points
Kwa Siku 30 65,000 points
Mchanganuo Malipo ya msingi 30,000 points
+
Point za kuongeza 35,000 points
78,000 points
Mchanganuo Malipo ya msingi 35,000 points
+
Point za kuongeza 43,000 points
88,000 points
Mchanganuo Malipo ya msingi 40,000 points
+
Piont za kuongeza 48,000 points
Vifurushi
S: 12,000Btu/h(1.25hp)
Kwa siku 1 3,000 points
Kwa siku 7 17,000 points
Kwa siku 30 65,000 points
Mchanganuo Malipo ya msingi 30,000 points
+
Piont za kuongeza 35,000 points
M: 17,100Btu/h(1.79hp)
Kwa siku 1 3,500 points
Kwa siku 7 20,000 points
Kwa siku 30 78,000 points
Mchanganuo Malipo ya msingi 35,000 points
+
Piont za kuongeza 43,000 points
L: 20,500Btu/h(2.14hp)
Kwa siku 1 4,000 points
Kwa siku 7 23,000 points
Kwa siku 30 88,000 points
Mchanganuo Malipo ya msingi 40,000 points
+
Piont za kuongeza 48,000 points
 

* Kwa kifurushi cha siku 30 kwa S size, utahitaji point 65,000. Utatumia point 30,000 ambazo ulipokea baada yakulipa malipo ya msingi. Ongeza point 35,000 ili uweze kulipia kifurushi cha siku 30.


* Endapo utahitaji kuongeza Baridi Points utaweza kununua nyingine ili uendelee kutumiaAC
(Baridi Point 1=Tzs 1)


*Malipo ya Msingi

* Yatakatwa kwenye account yako kila tarehe 1 ya mwezi

* Endapo utaanza kutumia huduma zetu katikati ya mwezi, malipo ya msingi ya mwezi yatahesabiwa kila siku.(Utapata point za thamani ya kiasi kile kile ulicholipia)* Kwa kifurushi cha siku 30 kwa S size, utahitaji point 65,000. Utatumia point 30,000 ambazo ulipokea baada yakulipa malipo ya msingi. Ongeza point 35,000 ili uweze kulipia kifurushi cha siku 30.


* Endapo utahitaji kuongeza Baridi Points utaweza kununua nyingine ili uendelee kutumia AC
(Baridi Point 1=Tzs 1)

*Malipo ya Msingi

* Yatakatwa kwenye account yako kila tarehe 1 ya mwezi
* Endapo utaanza kutumia huduma zetu katikati ya mwezi, malipo ya msingi ya mwezi yatahesabiwa kila siku.(Utapata point za thamani ya kiasi kile kile ulicholipia)

Maoni ya Wateja​

Customers’ opinions

Nimepata AC yenye ubora wa hali ya juu kwa kulipa 180,000/- tu kama gharama ya ufungaji. Kabla, nilikuwa nikitumia AC isiyo na inverter na gharama ya umeme ilikuwa kubwa sana. Lakini, baada ya kutumia AC kutoka Baridi Baridi nilipunguza zaidi ya 75% ya gharama ya umeme. Na nafurahi sana kuwa mmoja wa wateja wa kwanza wa Baridi Baridi.​

Mswali na Majibu

 • Baridi Baridi
 • Huduma ya kukodisha
 • Kuhusu AC
Baridi Baridi ni nini?

Baridi Baridi ni kampuni ya Kijapani inayotoa huduma nchini Tanzania, ni kampuni ya kwanza nchini Tanzania na ulimwenguni kote, ambayo inatoa huduma ya kukodisha viyoyozi kwa ofisi, maduka, na nyumbani. Baridi Baridi inajihusisha na ukodishaji wa viyoyozi namba 1 ulimwenguni, viyoyozi vya Daikin inverter ambavyo vinatumia teknolojia ya kupunguza matumizi ya umeme na hivyo kupunguza gharama ya umeme.

Ofisi yenu ipo wapi?

Ofisi yetu ipo Tanzanite Park Victoria, Ground floor, Plot number 38 Victoria Street, New Bagamoyo road, P.O. Box 33758, Dar es Salaam, Tanzania.

Huduma zenu zinapatikana saa ngapi?

Tunapatikana ofisini kwetu kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa, kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni. Ofisi yetu ipo Tanzanite Park, Victoria.

Je, ni faida gani nitapata nikikodisha AC?

Anza kufurahia AC yenye ubora wa hali ya juu kwa kulipa gharama nafuu za awali, matumizi madogo ya umeme, huduma ya bure ya matengenezo ya AC na huduma nzuri kwa wateja wa Baridi Baridi.

Gharama za kukodisha AC zikoje?

Mfano, kwa kifurushi cha siku 30 kwa S size, utahitaji point 65,000. Utatumia point 30,000 ambazo ulipokea baada ya kulipa malipo ya msingi. Ongezea point 35,000 ili uweze kulipia kifurushi cha siku 30.

Je, AC itaokoa kiasi gani cha gharama za umeme?

Daikin inverter AC inapunguza matumizi ya umeme kwa zaidi ya 30% ikilinganishwa na Daikin AC isiyo na inverter. Pia, tulifanya uchambuzi wa matumizi ya umeme kwa wateja wetu ili kuona kama ni kweli. Mfano mmoja ni kwamba, wakati duka la dawa la Al Tai lilikuwa likitumia AC isiyo na inverter, gharama ya umeme kwa matumizi ya AC ilikua 6,200Tsh kwa masaa 9. Lakini baada ya kubadilisha na kufunga Daikin inverter AC kutoka Baridi Baridi, gharama ya umeme kwa matumizi ya AC ilipungua hadi 2,700Tsh kwa masaa 9. Matokeo yanaonesha kwamba Daikin inverter AC kutoka Baridi Baridi inaweza kupunguza gharama ya umeme kwa zaidi ya 50%.

Huduma ya usafishaji na matengenezo ya AC inajumuisha vitu gani?

Baridi Baridi inatoa huduma ya kusafisha vumbi kwenye chujio ya indoor unit ya AC mara moja kwa mwezi na na kusafisha kwa maji indoor unit na outdoor unit ya AC mara moja kwa mwaka. Baridi Baridi inatoa huduma ya marekebisho kama kiyoyozi kimekuja kibovu bila makosa ya mteja.

Ninaweza kukaa na AC kwa muda gani?

Habari njema! unaweza kukaa na AC kutoka Baridi Baridi kwa muda wowote unaotaka. Baada ya AC kufungwa katika chumba chako, utahitajika kulipia vifurushi ili uweze kuendelea kufurahia huduma yetu.

Je, nitapata AC ya aina gani?

Utapata Daikin inverter AC kutoka Japan. Kwa sasa ni AC bora nchini Tanzania.

Je, nitapata AC mpya?

Unaweza usipate AC mpya kila wakati, lakini utapata Daikin Inverter AC yenye nyota 5 ambayo inaokoa matumizi ya umeme. Kuwa mmoja wa wateja wetu wa kwanza, anza kufurahia baridi mwanana.

Je, ninaweza kumiliki AC?

Ukikodisha AC kutoka Baridi Baridi utafurahia huduma ya usafishaji na matengenezo ya AC bure. Na kama AC itaharibika tutabadilisha na kukufungia nyingine ikiwa AC imeharibika bila makosa ya mteja. Lakini, hatuna chaguo la mteja kununua AC.

Je, ninawezaje kukatisha mkataba?

Mkataba wa huduma ya Baridi Baridi ni mkataba huru. Utaruhusiwa kukatisha mkataba mwezi mmoja baada ya kutupa taarifa kuhusu kutaka kukatisha mkataba. Anza kutumia huduma yetu wakati wowote unaotaka.

Ofisi Zetu

Tanzanite Park Victoria, Ground Floor,​Plot number 38 Victoria​ Street, New Bagamoyo Road, P.O.Box 33758, Dar es salaam, Tanzania​

Customers’ opinions

Kuhusu Kampuni​