Mpango wa Ushirikiano wa Biashara

Shirikiana nasi. Kua pamoja nasi.

Ungana na mtandao wa washirika wetu na uwe sehemu ya kutoa suluhisho la viyoyozi huku ukiongeza kipato chako na kupata fursa mbalimbali.

Baridi Baridi Partner

Kwa Nini Ujiunge?

Kamisheni Nzuri

Pata kamisheni nzuri kwa kila mauzo yaliyofanikiwa.

Uhuru wa muda wa kufanya kazi

Fanya kazi unapotaka, popote ulipo.

Mafunzo na Msaada

Pata mafunzo, zana na msaada maalum.

Kuza Mtandao Wako

Ungana na kampuni inayoaminika kwa mamia ya washirika wetu wenye ujuzi mbalimbali..

Jinsi Inavyofanya Kazi

1

Jisajili

Tengeneza akaunti yako kwa dakika chache.

2

Pata Mafunzo

Jifunze kuhusu bidhaa zetu na zana za mauzo.

3

Anza Kutafuta Wateja

Pendekeza suluhisho bora kwenye mtandao wako.

4

Pata Malipo

Pata kamisheni nzuri  kwa kila  kiyoyozi utakachouza

PartnerPartner

Washirika 100+ wa Biashara Waliopo

Wanaoaminika. Wanaokua. Wanaopata.

Una maswali?

Wasiliana nasi na tutafurahi kukusaidia.

Wasiliana Nasi

Copyright © 2026 Baridi Baridi. All rights reserved.