Vodacom

M-Pesa

  • Piga *150*00#
  • Chagua 4 Lipa kwa M-Pesa
  • Chagua 4 Weka namba ya kampuni
  • Weka namba ya kampuni (971866)
  • Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (reference number)
  • Weka kiasi
  • Weka namba ya siri
  • Bonyeza 1 kuthibisha
Mixx By Yas

Mixx by yas

  • Piga *150*01#
  • Chagua 4 Lipa Bili
  • Chagua 3 ingiza namba ya kampuni
  • Weka namba ya kampuni (971866)
  • Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (reference number)
  • Weka kiasi
  • Weka namba ya siri
  • Bonyeza 1 kuthibitisha
Airtel

Airtel Money

  • Piga *150*60#
  • Chagua 5 Lipa Bili
  • Chagua 2 chagua namba ya kampuni
  • Chagua 7 chagua kampuni
  • Bonyeza # inayofuata
  • Chagua 11 baridi baridi
  • Weka kumbukumbu namba (reference number)
  • Chagua 1
  • Bonyeza 1 kuthibitisha
  • Weka namba ya siri

015C555004400

BARIDI BARIDI TANZANIA LIMITED

AZIKIWE BRANCH

20110072760

BARIDI BARIDI TANZANIA LIMITED

BANK HOUSE BRANCH

074103003447

BARIDI BARIDI TANZANIA LIMITED

VICTORIA BRANCH

Copyright © 2026 Baridi Baridi. All rights reserved.